Kama kawa Usalama wa Raia na Mali zao ni Jadi ya The Vibe kupitia Zana za Kisasa Kabisa
Diva's Wakikata Tiketi kwa Ajili ya kuingia Ndani ya The Vibe kuendeleza shangwe
Katikati ya Dancing Floor..., Historia Ili anza kuwekwa Hapo.......
Hawa ni Washindi Kumi na Mbili waliopata zawadi kutoka Redd's kwa sababu walitoka Kivalentine zaidi...Aliyevaa Tshirt ya Redd's Katikati ni Mr.Raymond Kutoka TBL
Club Manager Mwenye Njano akiwa na washindi 12
Mr. Raymond toka TBL(Kushoto) akiwa na Presenter's Vice President., Stanslaus Lambat ambaye Alikuwa ana Run show nzima
Host's..; Jackline Charles na Stanslaus Lambat
Mshindi wa Pili (Kushoto) na Mshindi wa Pili (Kulia) amabo walitoka Kivalentine zaidi siku hiyo
Huyu aliibuka Mshindi kwa kuwa Mwanadada aliyetupia Kivalentine zaidi siku hiyo..., Amekamatia kifurushi cha Zawadi toka TBL kupitia Kinywaji cha REDD'S pamoja The Vibe
MC (Presenter's Vice President.!)
Smart B
Kona ya Kupanda VIP..., Jamaa Toka Mbeya FM wakiwa na Mr. Ray
Washindi wa The BEST Couple siku hiyo wakipiga KISSSSSSSSSSSS....., Duh.!!
Manager TBL Branch ya Mbeya akisikiliza Maelekezo ya Kuwagawia Mkwanja Washindi Wa The Best Couple ambao Mshindi wa kwanza na Wa Pili walipata 30,000/= kils mmoja na Wa kwanza walipata 40,000/= kutoka The Vibe.!!
Ukiachana na Mkwanja The Best Couple walipata Zawadi ya Vifurushi toka TBL