August 22, 2012
August 16, 2012
hawa ndio Wasanii wa Bongo anao wakubali DNA
Msanii kutoka Kenya, Dennis Kagia Waweru a.k.a D.N.A akubali kuwa
ameamua kuachana na URAIBU (Dhambi) na kwa miaka 3 sasa hajatumia kilevi
wala kujiingiza kwenye maswala ya starehe lakin ataendelea kutoa ngoma
za aina zotezote kulingana na mahitaji,
UHAMISHO WA RVP
Kama
unakumbuka Mnamo Mwezi Julai, Van Persie alitangaza kugomea kusaini
Mkataba mpya na Arsenal huku Mkataba wake wa sasa ukiwa umebakisha Mwaka
mmoja na Arsenal wameamua kumuuza sasa ili wapate Fedha badala ya
kungoja Mwakani ambapo angeo
ndoka bure.
Msimu uliopita Van Persi alifunga jumla ya Mabao 44 katika Mechi 57 alizochezea Arsenal na Nchi yake Holland.
Hivyo basi Manchester United hii leo imeamua kufikia makubaliano ya kumsaini Straika huyo alkuwa, Arsenal Robin van Persie kwa dau la Paundi Milioni 24 kwa Mkataba wa Miaka minne.
Uthibitisho huu wa Uhamisho umerushwa na Tovuti ya Man United ambayo imesema dili hii itakamilika baada ya Van Persie kupimwa afya na kukubaliana maslahi yake binafsi.
Huyu ndie Van Persie akiwa ARSENAL:
ALIJIUNGA: 2004
ADA: £2.75m
Amecheza MECHI: 278
MABAO: 132
MAGOLI MENGI ALIYOFUNGA MSIMU MMOJA NI: 37
VIKOMBE: Viwili (2004 Ngao ya Jamii na 2004/5 FA Cup)
Kingine cha kukumbusha ni kwamba Msimu uliopita, Van Persie alitunukiwa Tuzo za Mchezaji Bora wa England mbili moja kutoka kwa Chama cha Wachezaji wa Kulipwa na nyingine toka kwa Waandhishi wa Habari za Soka na pia ndie alikuwa Mfungaj Bora wa Ligi Kuu England.

· · Share
August 06, 2012
Alichoandika Jaguar kuhusu Prezoo
Hiki ndicho alicho andika Jaguar baada ya Prezoo kushinda jana..., huyu jamaa ni Kigeugeu haswaaa
WE ARE BAAAACK.!!!! Get Ready for more Infoz
Yess...., baada ya Ukimya kidogo sasa www.wakalinext.blogspot.com imerudi, Jiandae kwa Infoz za kutosha.!!!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)