I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY

September 30, 2010

Fid Q arudi Tanzania na Mikakati Mipyaaaaz


Farid Kubanda a.k.a Braza  Fid  juzi katimba akitokea Marekani alikokua amepelekwa na ofisi za Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kwa ajili ya Kozi ya International Leadership Programms, kama ye mwenyewe alivyowahi kusema kabla hajaondoka kuelekea pande hizo, kuhusu mambo aliyojifunza huko amabapo amesema kuwa amepata nafasi ya Kutembelea miji tofauti ya U.S.A na kujifunza elimu ya Sanaa, Filamu na mambo mengine kibao, ambapo pia ametunukiwa Cheti baada ya Kufanya vizuri katika kozi hiyo.

Fid amesema anasema kuwa yuko katika mipango ya Kuandaa Kongamano/Workshop kwa ajili ya Wasanii wa Muziki, Mashairi, ngonjera, yaani sanaa aina zote kwa ajili ya Afrika mashariki, na kusisitiza kuwa anafanya vyote hivyo kutoakana na mapenzi yake kwa muziki wa Hip Hop.

Fid amesema Work shop/Kongamano hilo bado Tarehe ya kufanyika Haijawa Confirmed, ila Litaandaliwa kwa ushirikiano na ubalozi Marekani.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni yako hapa chini

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!