I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY

October 21, 2010

Ali K aula

Kiba na kolabo la mastar US!
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba, amekisanua kwenda mjini Chicago, Marekani kurekodi wimbo utakaowahusisha nyota kadhaa wakiwemo Mnigeria 2Face Idibia, Fally Ipupa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Amani wa Kenya.
Waandaaji wa safari ya msanii huyo, kampuni ya Rockstar 4000, walisema kuwa Ali Kiba ataungana na ‘mastaa’ nane wa Afrika kurekodi wimbo huo, wakiwa pia na nyota mmojawapo wa muziki nchini Marekani ambaye bado hajatajwa.

Akizungumza jana Dar, mwakilishi wa Rockstar 4000, Christina Mosha ‘Seven’, alisema kuwa mafanikio ya Ali Kiba katika muziki wake wa kizazi kipya ndiyo yaliyombeba na kumpa nafasi ya kwenda Marekani kurekodi wimbo na nyota wengine wa Afrika.

“Huu ni mpango wa muda mrefu, ukiwa na lengo la kuwatambulisha wanamuziki wetu wa Afrika nje ya mipaka ya bara letu,” alisema Seven.

Alisema wasanii wengine watatoka katika nchi za Gabon, Ghana, Zambia na Uganda.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni yako hapa chini

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!