I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY

October 20, 2010

Mb Doggy ndani ya Germany kwa show tatu tofauti

Jana Jioni nilipata Ujumbe kutoka kwa moja ya Members wa Macopa Inc, jamaa anaitwa Jilla Jeff na aliniandikia Ujumbe ufuatao "Ebwana niaje Mkali.? kwa taarifa tu ni kwamba Mtu mzima Mb Dogg kaenda Germany jana saa tatu usiku so kashakuwa pande zile kwa ajili ya Show kama Tatu ivi na atarudi Bongo tarehe 15 Novemba.!" huo ujumbe niliopokea so Wadau wa Muziki na Mashabiki habari ndio hiyo.., but Mb Doggy kama unasoma hii usisahau kuniletea hata kiatu brada.!! Ha! Ha! Ha! Haaa!!!

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni yako hapa chini

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!