I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY

December 31, 2010

HII NI TASWIRA YA THE VIBE ILIYOPO MBEYA CITY



Hii ni Taswira ya The Vibe kwa Ndani,, Hii ilikuwa naMoja ya Shangwe zilizofanyika siku ya Mkesha wa Mwaka Mpya., Lakini kwa sasa ni kila Ijumaa,Jumamosi na Jumapili.!!!


Ukiwa unapita Barabara inayokupeleka Kampasi ya Chuo cha Mzumbe Mbeya bila shaka utakutana na Jengo hili Kali ambalo ndani yake ndipo shangwe za Marafiki hufanyikia.!!!
The Vibe........, Jionee Utofauti.!!!

1 comment:

  1. tanx kwa kutuonesha huo mjengo kwa sisi ambao c wa kwenda place hizo tumekula kwa macho

    ReplyDelete

Toa Maoni yako hapa chini

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!