I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY

February 16, 2011

Kamera ya Vibe Ndani ya The Vibe VALENTINE hii

Kama kawa Usalama wa Raia na Mali zao ni Jadi ya The Vibe kupitia Zana za Kisasa Kabisa




Diva's Wakikata Tiketi kwa Ajili ya kuingia Ndani ya The Vibe kuendeleza shangwe


Katikati ya Dancing Floor..., Historia Ili anza kuwekwa Hapo.......




Hawa ni Washindi Kumi na Mbili waliopata zawadi kutoka Redd's kwa sababu walitoka Kivalentine zaidi...Aliyevaa Tshirt ya Redd's Katikati ni Mr.Raymond Kutoka TBL


Club Manager Mwenye Njano akiwa na washindi 12

Mr. Raymond toka TBL(Kushoto) akiwa na Presenter's Vice President., Stanslaus Lambat ambaye Alikuwa ana Run show nzima


Host's..; Jackline Charles na Stanslaus Lambat

Mshindi wa Pili (Kushoto) na Mshindi wa Pili (Kulia) amabo walitoka Kivalentine zaidi siku hiyo


Huyu aliibuka Mshindi kwa kuwa Mwanadada aliyetupia Kivalentine zaidi siku hiyo..., Amekamatia kifurushi cha Zawadi toka TBL kupitia Kinywaji cha REDD'S pamoja The Vibe


MC (Presenter's Vice President.!)

Smart B

Kona ya Kupanda VIP..., Jamaa Toka Mbeya FM wakiwa na Mr. Ray

Washindi wa The BEST Couple siku hiyo wakipiga KISSSSSSSSSSSS....., Duh.!!

Manager TBL Branch ya Mbeya akisikiliza Maelekezo ya Kuwagawia Mkwanja Washindi Wa The Best Couple ambao Mshindi wa kwanza na Wa Pili walipata 30,000/= kils mmoja na Wa kwanza walipata 40,000/= kutoka The Vibe.!! 

Ukiachana na Mkwanja The Best Couple walipata Zawadi ya Vifurushi toka TBL

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni yako hapa chini

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!