I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY

August 04, 2011

Huu Ndio Uchafu wa Baadhi ya MEDIA za Kibongo...!!!

Nimepata Ujumbe toka kwa Moja ya Mdau Wa Muziki hapa Nchini ambaye jina Lake hakutaka nilitaje akinielezea Jinsi Baadhi ya Redio zinavyo Poromosha Mafanikio ya Wasanii wetu, Naomba Muisome Email yake hapo chini kama ifuatavyo



“Unajua nilipokua kimaskani(moro) Belle_9 nimekua nae kitaa kimoja since enzi za primary.!na anaanza kuimba belle 9 tulianza kupanda nae kwenye majukwaa ya ishi campaign,promosheni mbalimbali kama za coka cola,voda n.k.!nilipokuja kuprove ki2 hiki nibaada ya belle kutoa single yake ya sumu ya penzi.!anafanyiwa interview ya kwanza na Dj Fetty nakumbuka alitukusanya kwenye ground ya mpira.!baada ya ile interview ckutegemea kilichotokea,dj Fetty pamoja na B12 walimpromise kumtoa belle but anatakiwa ajitahidi kuwaclisha mkwanja na kwa kuanzia walimwambia atume vocha.!kwa macho yangu nilishuhudia belle aki2ma buku5 kwa fetty na buku5 nyingine kwa dozen.!kilichoniuma broh ni kwamba ile nyimbo ilipigwa cku moja tu wakati belle alikua kashawapa mkwanja mrefu ambao alikua akipewa na braza ake ambae alikua akifanya kazi ya mcmu ktk kampuni moja inayoitw Tumbaku,na nakumbuka kipindi hicho walikua wakipewa mshahara sh60,000.!juct immagine ni kiac gani inauma.!baada ya kuona hivyo na kiukweli ile ngoma ilikua kali,tukamshauri belle aisambaze kwenye masaluni ya dsm na moro palepale,Mungu sio mchomvu wala dozen ile ngoma ikavuma na redio nyingi zikaanza kuipiga ile ngoma.!hapo ndio clouds wakajisikia noma wakaanza kuipiga tena ile ngoma,na wakamuita belle_9 studio kwenye xxl.na sio huyo tu pia kuna mshkaji anaitwa Samir aliyetokaga na ngoma iliyoitwa "naamini mapenzi yaweza ua"sema huyu katoa pesa kwa presenters wa moro palepale.!unajua moro kama moro ni mkoa ambao unawasanii wengi ambao wanaweza.sema wanashindwa kutoka kutokana na vi2 kama hvyo.xo hii ki2 mimi inaniuma coz inaua vipaji vya wasanii wengi.!!Nawapa big up nyi mapresenters wa mbeya coz since nimeingia mkoa huu cjackia hizo skendo.!!pamoja xana broh keep it up.!”

NO MORE COMMENT…., KWA UPANDE WANGU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni yako hapa chini

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!