I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY

August 15, 2011

MEYA PRESENTERS ALL STARS WANASHUSHA BONGE LA NGOMA

Ni time ya kuonyesha ushirikiano uliopo kati ya presenters ndani ya Green city kwa kufanya ngoma pamoja chini ya MASHADA INC PRODUCTION na Producer Losso akisimamia mzigo huo,.... Kiufupi Jina la Wimbo huo bado halijajulikana ila Baadhi ya Watakaoshiriki Kutengeneza Mzigo huo ni wafuatao hapo Chini

Hon;Stanslaus Lambat a.k.a Presenter's Vice President.(Mbeya FM)
Obby Mack a.k.a Obby da Bullet(Highlands FM)
Twali Nassor a.k.a Twal B(Generation FM)
Mbasha Boy ak.a Shaaaaaaaa Bway..,(Sweet FM)
 
Kiufupi ni kwamba kila Mmmoja anajitamba kumfunika Mwenzie huku kukiwa na Tetesi kwamba Baadhi yao wameanza kuomba Msaada wa kuandikiwa Verse so cha Muhimu tuingoje Ngoma hiyo tuone Nani ni nani ingawa Mtu mzima Stanslaus Lambat akipewa 75% ya kuwafunika wenzie

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni yako hapa chini

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!