September 18, 2010
JAMANI NIPO KWENYE MSETO THEN MAMBO MENGI BUT SOON I'LL BE AROUND
Jamani siasa na Mambo ya Jamii yana niweka tight kiaina lakini soon Mtapata Mambo poa tokea hapa coz Mipango ipo Mingi Lakini tunaweza endelea chat kwenye Facebook kwa kupitia Stanslaus Lambat.., na Mipango ya Top 30 ya Mbeya FM inaendelea kama kawa kila Jumapili saa tisa kamili Alasiri mpaka kumi na Mbili jioni.!!! Kip on listening
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini