I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY

September 18, 2010

Kuipanga Top 30 kunahitaji utulivu

Jamani nahitaji ushirikiano wenu Juu ya Kuipanga Top 30.., so endelea kunitumia mapendekezo yako kwa njia yoyote uiwezayo ikiwemo kupitia 0757762963

2 comments:

  1. Wakati wkend wa2 wakiwa wanafurahi kupumzika, basi kwa Dj stans kichwa huwa kinauma ile mbaya, wapi apate 30 bora! Bro, hebu relax Nadhani kuanzishwa kwa blog hii basi utapata support ya kutosha, cha msingi ni kuitangaza vya kutosha ile people waitembelee! Pamoja sana stans ktk kuboresha top 30 ya Mbeya Fm.

    ReplyDelete

Toa Maoni yako hapa chini

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!