Wakati umefika Kutafakari yale ambayo Baba waTaifa alituomba tufanye., Lakini hakika miaka hii kumi na moja ni kiasi kidogo tu cha yale aliyotuachia ndio yanafuatwa.!! Viongozi wamejisahau sana na Wengine wanatumia Siku hii ya kumbukumbu kufanya Starehe na maovu badala ya Kutafakari Mambo muhimu ya Kuipeleka Nchi pahala Pazuri.!!!
Ni Mtazamo wangu Tu.!!
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini