Jana Jioni nilipata Ujumbe kutoka kwa moja ya Members wa Macopa Inc, jamaa anaitwa Jilla Jeff na aliniandikia Ujumbe ufuatao "Ebwana niaje Mkali.? kwa taarifa tu ni kwamba Mtu mzima Mb Dogg kaenda Germany jana saa tatu usiku so kashakuwa pande zile kwa ajili ya Show kama Tatu ivi na atarudi Bongo tarehe 15 Novemba.!" huo ujumbe niliopokea so Wadau wa Muziki na Mashabiki habari ndio hiyo.., but Mb Doggy kama unasoma hii usisahau kuniletea hata kiatu brada.!! Ha! Ha! Ha! Haaa!!!
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini