Hapa akisindikizwa na flowers kuingia club iinayofahamika kama King of Diamonds pande za Miami ambapo aliandaliwa Party iliyoitwa "Welcome Back Carter" na washikaji kibao wali-show love kuanzia Nicki Minaj,Drake,Birdman,Busta Rhymes,Bow Wow,Jay Sean na wana kibao walikunywa ma-champagne na mazagazaga ya kufa mtu!...Welcome Back Uraiani Homie!!!
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini