Ni Yule jamaa aliyecheza zile movie za Blade.. juzi kati kaukumiwa
kwenda jela miaka 3 kwasababu za kutokulipa kodi za mapata…. Jamaa
anadaiwa zaidi ya Billion 15 za kibongo… Ila kuna kampuni ya simu
imejitokeza na kutangaza kumuokoa mshkaji… kwa kumlipia kodi
anazodaiwa na kumpa milioni kumii juu… anachotakiwa kufanya ni
kuiruhusu kampuni hiyo itengeneze game itakayomuusisha Wesley kama
vile yupo jela..!!

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini