Msanii anayetamba na wimbo wake wa Bongo Fleva Dully Sykes aka Brotherman ameongea wakalinext na kusema kuanzia sasa msanii mwenzake anayejulikana kwa jina la AY ndiye atakayekuwa meneja wa show zote za Dully zitakazofanyika ulaya.
Dully amesema hivyo kwa kumuamini AY kwa kuvuka boda na kujuana na wadau wengi wa nje ya nchi so anaimani na yeye atafanya vizuri katika anga hizo na kutomuangusha apatapo show hizo za Ulaya.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini