Nadhani nitakuwa si wa Kwanza Kuzungumza hili coz Nimetembelea http://www.kijiti2011.blogspot.com/ naye kaandika kile ambacho nami nilikiona pia.., kiufupi show ilikua poa, kwani The vibe Troupe,Mwasiti na THT Dancers walimake Headline Kinoma noma, bila kuwasahau Warembo ambao nao walishusha Bonge la show ya Pamoja including Talent shows zao.!!
Lets Back to the Point...., Kuna huyu Mtangazaji anajiita Antonio Nugaz kama sikosei., I think ndio anachipukia coz ndio kwanza nilimuoana na kumsikia kwenye show hiyo.., sababu ya kumuita Chipukizi ni kwamba it was my first tym kumsikia na kumuoana then kingine ni kwamba alijidhaminisha kwa kuitaja Media ambayo ilikuwa aihusiani kabisa na Show hiyo then Full kujitaja yeye na Ndugu zake, kibaya zaidi ni kutotofautisha Utangazaji wa Redio,Tv,Utangazaji wa kwenye Birthday au Ule wa Shows za Kibongo Fleva na Uemc wa shows za Heshima.!! Ivi kwa kuidharirisha Cocacola na baadhi ya Wadhamini kwa Maneno Makali kutawapa tena Udhamini wandaji ambao ni 2Sisters.!?? Ivi kumsanifu MC mwenzake kwa kumwambia "ACHA NIENDELEE MI NIMETOKA MBALI WE WAHAPAHAPA" ni sahihi.!??
Jamani kwa wengineo mnaotarajia kuandaa shows Msiangalie Ukubwa wa Jina la Mtu au Media Atokayo.!! Ebwana Nisiwachoshe but kumbukeni kuwa "MWANAHARAMU HATA UKIMUWEKA KWENYE CHUPA LAZIMA ATATOA KIDOLE.!!
Kama vipi pouar..., Tusitafutane Jaman ni mtazamo tu Nothing Behind......
UNANIJUA,UNANISIKIA.!?
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini