I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY

July 07, 2011

YALIYOJILI KWENYE SIKU YA FAMILIA TBL (TBL FAMILY DAY) TAREHE 2 June

Mpango mzima ulifanyika pande za Mbalizi katika viwanja vya Ifisi Conference Centre (ICC)

Michezo ya kila aina ilikuwepo

 




Nilipendezewa na hii kitu, ama kweli ilikuwa ni Family Day



Mwasamweneeee., ha ha ha haa.!! No comment hapa

Mazoezi muhimu, so yalichukua nafasi yake pia.!!!

Mzigo wa vinywaji wa kutosha uliwekwa humu dzain., watu mpaka waliacha

Dj Andrew kushoto na Dj Mwasemwee kulia

Mbio za Magunia kwa watoto n wakubwa zilihusika



Sikumbuki vizuri hawa jamaa walikuwa wanadiscuss nini,

Kuvutana kwa Kamba sasa.., hii nayo ni kwa watoto na wakubwa kwa jinsia zote



Mbona kulalaaa.!???

Jamaa alitisha kinoma, cheki kogo zake za Uvutaji kamba, ha ha ha Lager bana kumbe sum tymz inaleta ujasiri Eeeh.!!??

Kimbiza kuku Meen



Kiukweli Kuku huyu alisumbua kinoma noma, cheki picha hizo

Ni tym ya sarakasi


Bonge la sound kutoka TBL., Big up guys.!

Anakula Kuku huku kashika....................

Ah.!! Mindu akiwa na moja ya Familia yake., but sikupata jina la huyu Mtoto mara moja though ni copy poa ya jamaa

Gentlemenz




KIDUKUUUUUUUUUU


Mmh.!! Kaka upo serious


Dogooo.., ulinivutia sana though sikupata jina lako mara moja


Habari za Saizi.!??
Nyama chomaz, kazi ni kwako iwe Mbuzi au Ng'ombe

Kikosi Kazi cha TBL

Mkuu

Flowers.!!

Mwasamwene na Dkt. Stanslaus Lambat

Mwasamwene na Freiz.,


 Kila aliyefika alitakiwa Safari Njema, though post hii imechelewa kutokana na Matatizo yaliyo nje ya uwezo hivyo tunaomba Radhi kwa Usumbufu uliyojitokeza.!! Ila Habari njema ni kwamba http://www.wakalinext.blogspot.com/ inarudi kwa kasi sasa waweza wasiliana nasi kupitia 0757 762 963

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni yako hapa chini

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!