HATUA YA KWANZA
Akiwa na Vijana wa eneo hilo
Akiwasikiliza kwa Umakini maelezo yao
HATUA YA TATU (KUTEMBELEA SHULE YA MSINGI IZIWA)
Sugu akitoa Salam kwa Wanafunzi wa Darasa la Saba shule ya Msingi Iziwa.
HATUA YA NNE (UKAGUZI WA DARAJA LILOJENGWA KWA NGUVU YA WANANCHI)
Nia kubwa ni kujua Miundombinu ya Eneo hilo inachangamoto gani ili ziweze kutatuliwa na kufanya shughuli za Wananchi wa eneo hilo kwenda vile inavyopaswa kwenda
Safari ya Mguu kwa Mguu mapaka Darajani
Njiani anakutana na Mzee Maarufu wa Eneo hilo, Mzee Mgulula
Baada ya Salamu na Kukumbatian kwa Furaha kumuona Mbunge eneo hilo, Mazungumzo mafupi yanafuata
Akipewa Maelezo ya Jinsi gani Daraja hili lililojengwa kwa Nguvu za Wananchi lilivyo Muhimu kwa Maendeleo ya Kata hiyo
NJIANI AKIRUDI OFISINI KWA MAJUKUMU MENGINEYO
Wakati anaianza Safari ya kuelekea Eneo la Iziwa Kukagua Miradi ya Maendeleo Joseph Mheshimiwa Mbilinyi alipata Ujumbe kutoka kwa vijana wanaofanya kazi ya Kuosha Magari eneo la Ujenzi(Sinde) Jijini Mbeya ambao wanadai wamekatazwa kufanya Kazi zao Eneo hilo, hivyo ikamlazimu kufika kwa Vijana hao na kuwasikiliza mara moja kabla ya kuendelea na Safari
Akiwasikiliza kwa Umakini maelezo yao
Vijana hao wanadai awali walipo ruhusiwa kufanya kazi zao eneo hilo waliamuliwa kuchimba shimo ili kutunza Maji machafu yasizagae ovyo, nao waliitikia wito kama inavyoonekana.
Baadae wakaambiwa watafuta Zana za kufanya eneo hilo liwe la kisasa, Mchanga na Mawe vipo tayari kama vinavyoonekana lakini hajapewa kibali cha keundelea na Ujenzi
Mama Ntilie nao kilio chao ni Biashara yao kwa sasa haiendi vizuri kutokana na Kukosa wateja, ambao tegemeo lao kubwa ni uoshaji wa Magari.
Sugu wa Vijana, Sugu wa Wazee, Sugu wa Watoto, Sugu kwa kila Mtu, Sugu kwa Maendeleo ya Mbeya..., Ukaribu kwa kila Mtu ndiyo Jadi yake.
Alichukua Vielelezo vinavyoonesha kuwa Wanalipia Ushuru eneo hilo lakini hawaruhusiwi kufanya Kazi na Kuwaahidi kuwa atalipeleka kwa Mkurugenzi wa Jiji ili waweze kutatua Mgogoro huo.
HATUA YA PILI (ENEO LA IZIWA)
Mheshimiwa Mbunge Mguu kwa Mguu Ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Iziwa
Akitia Sahihi kitabu cha Wageni Ofisi ya Afisa Mtendaji.
Akipata Maelezo Mafupi kutoka kwa Afisa Mtendaji kabla ya kwenda kukagua Miradi ya Maendeleo
Mbunge Kazini...., Akikagua Ufyatuaji wa Matofali kwa Ajili ya Ujenzi wa Zahanati ya Kata ya Iziwa
"Mheshimiwa Eneo loote hadi kule ni la Zahanati, hivyo tuna mpango wa kujenga Nyumba ya Daktari na Majengo mengineyo.!" Afisa Mtendaji wa Kata ya Iziwa Bwana Samwel Mboya akimpa Maelezo Mheshimiwa Sugu
Ati hili ni Jiwe la Msingi kama Linavyosomeka
Jengo la Zahanati hiyo upande wa Nyuma
Ukaguzi makini, Mh.Sugu akikagua Vyoo ambavyo hakuridhishwa navyo na kutaka Uongozi wa Kata ushirikiane naye kuhakikisha kila Kitu kiende sawa
Sehemu ya kuchoma Taka za Zahanati hiyo
Muonekano wa Hospitali hiyo kwa Mbali kidogo
HATUA YA TATU (KUTEMBELEA SHULE YA MSINGI IZIWA)
Mh. Sugu na Afisa Mtendaji
Akielekea Ofisi ya Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo ili kupata Maelezo na Kufahamu changamoto gani zina wakabili ili waweze kushirikiana kuzitatua.
"Karibu sana Mheshimiwa, ni Viongozi wachache sana wenye Moyo kutembelea Mazingira kama haya.!! Umeweka Historia"- Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Iziwa Ndugu G.D Golenimali
Karibu sana Mheshimiwa Sugu, alielezwa kuna Upungufu wa Walimu 20 na Nyumba za Walimu hivyo tunaomba Msaada wako.!
Sugu akitoa Salam kwa Wanafunzi wa Darasa la Saba shule ya Msingi Iziwa.
Mheshimiwa Sugu akiwa kwenye Eneo la Nyumba ya Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Iziwa
Akioneshwa nafasi ya Kujenga nyumba nyingine za Walimu kwa Mtindo.
Mwalimu Mkuu anaishi hapa
Eneo la Shule upande wa Nyuma
Moja ya Nyumba za Walimu ambayo.
Mwalimu Mkuu akimshukuru Mh. Sugu kwa Kutembelea Eneo hilo na Ahadi yake ya Kuwasaidia kukamilisha Nyumba nyingine za Walimu zilizobaki
HATUA YA NNE (UKAGUZI WA DARAJA LILOJENGWA KWA NGUVU YA WANANCHI)
Nia kubwa ni kujua Miundombinu ya Eneo hilo inachangamoto gani ili ziweze kutatuliwa na kufanya shughuli za Wananchi wa eneo hilo kwenda vile inavyopaswa kwenda
Safari ya Mguu kwa Mguu mapaka Darajani
Njiani anakutana na Mzee Maarufu wa Eneo hilo, Mzee Mgulula
Baada ya Salamu na Kukumbatian kwa Furaha kumuona Mbunge eneo hilo, Mazungumzo mafupi yanafuata
Darajani
Akipewa Maelezo ya Jinsi gani Daraja hili lililojengwa kwa Nguvu za Wananchi lilivyo Muhimu kwa Maendeleo ya Kata hiyo
Alisimama kusalimiana na kila Mmoja na Kujadiliana nae hili na Lile
Maeneo ya Majengo Jijini Mbeya sehemu amabpo Wanachama wa CHADEMA wanafanya Mazoezi ya Kwaya
Akiwapongeza kwa Wazo la kuanzisha Kwaya Maalum ya Chama.
Eneo la SOKOINE kwa wafanyabiashara wadogo wadogo ambao wanahitaji Msaada wa Mabati na Vifaa vingine ili kuweza kukamilisha Ujenzi wa Jengo lao
Mh. Sugu aliahidi kuwasaidiaa Vijana hao kukamilisha Jengo hilo ili waweze Kufanikisha Ujenzi wa Jengo hilo.!
Mheshimiwa Joseph Mbilinyi anaendelea na Ziara katika Kata Mbalimbali ili kukagua Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo na Kuzungumza na Wananchi kwa Kuwapa salam kutoka Bungeni nae Kupewa Salam kutoka katika kila Kata.!!
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini