January 21, 2013
Baada ya jana Mali kuichapa Niger (1-0) katika Dakika 6 kabla mpira kumalizika Bao lililopachikwa na Seydou Keita ambaye ni Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Goli hilo ni baada ya Kipa wa Niger Daouda Kassaly kuitema krosi ya Fousseiny Diawara.
Bao hilo la Dakika za mwishoni limewafanya Mali wawe Vinara wa Kundi hilo.
Lakini jana Katika Mechi ya Awali ya Kundi B, Timu ya Ghana na Congo DR zilitoka sare ya Bao 2-2.
Hii ndiyo Ratiba ya Leo Jumatatu Januari 21;
•(Saa 12 Jioni)
-Zambia vs Ethiopia
•(Saa 3 Usiku)
-Nigeria vs Burkina Faso
#Full Updates#
Msimamo wa Timu za Majuu (BPL):
1. Man United Mechi 23 Pointi 56
2. Man City Mechi 23 Pointi 51
3. Chelsea Mechi 23 Pointi 45
4. Tottenham Mechi 23 Pointi 41
5 Everton Mechi 22 Pointi 37
6 Arsenal Mechi 22 Pointi 34
7 Liverpool Mechi 23 Pointi 34
8 West Brom Mechi 23 Pointi 34
9 Swansea Mechi 23 Pointi 33
10. Stoke Mechi 23 Pointi 29
#Full Updates#
Subscribe to:
Posts (Atom)