January 21, 2013
Baada ya jana Mali kuichapa Niger (1-0) katika Dakika 6 kabla mpira kumalizika Bao lililopachikwa na Seydou Keita ambaye ni Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Goli hilo ni baada ya Kipa wa Niger Daouda Kassaly kuitema krosi ya Fousseiny Diawara.
Bao hilo la Dakika za mwishoni limewafanya Mali wawe Vinara wa Kundi hilo.
Lakini jana Katika Mechi ya Awali ya Kundi B, Timu ya Ghana na Congo DR zilitoka sare ya Bao 2-2.
Hii ndiyo Ratiba ya Leo Jumatatu Januari 21;
•(Saa 12 Jioni)
-Zambia vs Ethiopia
•(Saa 3 Usiku)
-Nigeria vs Burkina Faso
#Full Updates#
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini