I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY

September 30, 2010

Fid Q arudi Tanzania na Mikakati Mipyaaaaz


Farid Kubanda a.k.a Braza  Fid  juzi katimba akitokea Marekani alikokua amepelekwa na ofisi za Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kwa ajili ya Kozi ya International Leadership Programms, kama ye mwenyewe alivyowahi kusema kabla hajaondoka kuelekea pande hizo, kuhusu mambo aliyojifunza huko amabapo amesema kuwa amepata nafasi ya Kutembelea miji tofauti ya U.S.A na kujifunza elimu ya Sanaa, Filamu na mambo mengine kibao, ambapo pia ametunukiwa Cheti baada ya Kufanya vizuri katika kozi hiyo.

Fid amesema anasema kuwa yuko katika mipango ya Kuandaa Kongamano/Workshop kwa ajili ya Wasanii wa Muziki, Mashairi, ngonjera, yaani sanaa aina zote kwa ajili ya Afrika mashariki, na kusisitiza kuwa anafanya vyote hivyo kutoakana na mapenzi yake kwa muziki wa Hip Hop.

Fid amesema Work shop/Kongamano hilo bado Tarehe ya kufanyika Haijawa Confirmed, ila Litaandaliwa kwa ushirikiano na ubalozi Marekani.

Rihanna atoa orodha ya mipini itakayopatikana ndani ya album yake mpya iitwayo loud

 


Cutey kutoka Barbados ambae kila akitoka na hairstyle lazima aigwe na them ladies dunia nzima, miss ela ela eh eh….aka rhihana ametoa rasmi orodha ya mipini ipatikanayo ndani ya album yake mpya kwa jina loud Ndani ya album hii nicki minaj… miss baby gat back…..ataskika kwenye dude kwa jina raining men na kuna dude ambalo linasemekana linamlenga c breezy mr deuces dude kwa jina fading away……..

Orodha full ya pini hizi ni kama ifuatavyo

“S&M”
“Only Girl (In the World)”
“What’s My Name”
“Cheers”
“California King (Bed)”
“Raining Men” featuring Nicki Minaj
“Who’s That Chick”
“Fading Away”
“Man Down”

September 24, 2010

UKIWA RAIS WA MAREKANI LAZIMA UJUE KUSAKATA RHUMBA..!!!

 


GEORGE BUSH...Mkono mmoja weka juuuuu....weka hiviiiiii
GEORGE BUSH....Aleee pekecha Pekechaaeeeeeeeee!
BARACK OBAMA....E
Dizain na Presdent wetu anayaweza Kumbe.!!!? so anaweza kuwa Rais wa Marekani Eeeh.!!!???

MWISHO NA SHEM NDANI YA JACUZZI NDANI YA BBA ALL STAR.

 


After the Nominations show, washindi walioingia Top five wakavua nguo kisha wakatimba dip ndani ya jacuzzi. But Mwisho Duh.!!
Wadau tuwe wazalendo ili wakwetu arudi home na kitita cha madollar so try  by voting thru
www.mnetafrica.com/bigbrother  I real wish to be there

September 22, 2010

Mambo vipi.!!??

Hali yangu sio poa sana so sory iwapo ntakua sipo Updated but tanx alot kwa Mattu da super Boy,David Jotham na wengineo Mnaosaidia Blog hii kuwa jinsi ambavo ipo but hata wewe unayesoma nakushukuru pia coz Ngumu kutaja wote but karibuni sana.!! Love ya all

September 20, 2010

The ability to roll your tongue is inherited genetically.

The ability to roll your tongue is inherited genetically.

The percentage of the human population that has this skill ranges from 65 to 81 percent. A slightly higher percentage of females can do this than males.

The ability to roll one's tongue is a genetic trait that historically has been used to demonstrate the concepts of dominant and recessive traits in classrooms. However, the dominant nature of the "tongue-rolling gene" has been disproved, and is no longer an acceptable example to teach genetics in the classroom.

TAHADHARI KWENU AKINA DADA

Some hair bands manufactured in China are made of recycled condoms.

Supposedly the condoms are unused rejected ones, but it's not clear whether or not they were repurposed after having served their originally intended function. In that case, this could lead to the spread of disease.

According to government regulations, the prophylactics (technical term for condoms) should have been sent to a plastics factory and broken down first. Instead, the rubbers were just inserted directly into the center of the hair bands in their original state. When some women took their hair bands apart, they found out what they were made of.
condom

Inatishia kidogo kwa hali hii kwa Wenzetu ambao pia wanaaminika kwa kuwa na kasumba ya Uchawi Duniani

In 1923, 60% of of Haiti was covered in trees; now only 2% of the country is forested.

Deforestation across the nation increased dramatically after Hurricane Hazel struck in 1954 and continues to this day. There has also been little concern for reforestation by the government. As a result, an estimated 15,000 acres of Haitian topsoil is washed away annually!

ATM ambayo unaweka Dhahabu then yenyewe inatoa pesa yenye thamani sawa na Dhahabu uliyotoa

An ATM in Abu Dhabi dispenses gold in exchange for regular currency.

The kiosk was designed by a German entrepreneur named Thomas Geissler and is located in The Emirates Palace hotel. This unique ATM offers small golden coins or bars at an exchange rate determined by the daily price of gold.

I WILL ALWAYS GIVING YOU DA FACTS

There is a town in France named Condom.

Of course, this name is probably not as funny in French. In France, a condom is usually referred to as "préservatif". Condom is located on the river Baïse – strangely enough, the word ‘baise’ in French is a vulgar reference to sexual intercourse!

HII NI AKILI ZAIDI YA UJUAVYO

False eyelashes were invented by a movie director.

In 1916, director D.W. Griffith was working on his silent film Intolerance: Love’s Struggle Throughout the Ages. He wanted his leading lady to have eyelashes long enough to brush her cheeks when she blinked, so he invented some! These original false lashes were made of human hair woven through a small strip of gauze.

Griffith also is credited with coining the famous directorial phrase “Lights, camera, action!”

KIBONGOBONGO TUKIAMUA TUNAWEZA KUTENGENEZA PIA

Usipo Elewa niulize but Hope utaelewa bana

September 18, 2010

Mshindi Project Fame kuzoa Milioni 95/-

Vijana watatu wa Kitanzania watashiriki katika fainali za mashindano ya mwaka huu ya kusaka vipaji vya kuimba ya Tusker Project Fame, ambayo mshindi wa kwanza atapata zawadi ya Sh. Milioni 95. Akizungumza na waandishi wa habari jana,

Lloyd Banks Talks Respect, HFM2, Collabs, and more with Signature Hits Magazine "You’re only as good as the last time you’re heard"

As I interviewed Lloyd Banks, he informed me that 2 days prior to our interview he had received news about the certification as far as his gold plaque for “Beamer, Benz Or Bentley”, so he wanted to thank all the fans and supporters.

Prodigy Will Be Released In February

Prodigy is currently incarcerated due to a three years and half years sentence for weapons possession. Alchemist told MTV that Prodigy will be released this February "P comes home in February. It’s gonna be a very busy time.

Gucci Mane Talks Lloyd Banks: "Me and Banks In The booth That's Special, That's History, We Gotta Wait Till Perfect Time To Drop The Record"

Banks and Gucci were in the studio a few weeks ago, well everybody want to know when it's coming out. Go to mark 3:10 to hear what Gucci Mane has to say about it. Gucci also talks about his new album coming out sept 28th

Oh My: Peep Model From 50 Cent's "Amusement Park & Chris Brown's "Dueces" Videos. Brittany Dailey's Photo Shoot For T.I.T.S.

 
Estevan Oriol is a pro at what he does. And what he does is take photos of some of the sexiest women in the world. Brittany Dailey is the lovely model in this Two In The Shirt (T.I.T.S.) photo shoot. If Brittany looks familiar

Share 'Thisis50 - Sachika Celebrity Fashion Show For New York Fashion Week [Feat. Coco, Ice-T, Mz. Berry "From 'For The Love Of Ray J' ", Dawn "From Dirty Money" & Much More]'

Wakali Next goes to Sachika Celebrity Fashion Show For New York Fashion Week. Watch Coco & others walk the runway. [Click Here to view pictures of Coco at the Celebrity Fashion Show] Mz. Berry, Dawn "from Dirty Money"

Def Jam Records Has Reportedly Spent $3 Million On Kanye West's New Album

Def Jam Records Has Reportedly Spent $3 Million On Kanye West's New Album
With recording sessions in a mansion in Hawaii, as well as Jimi Hendrix' New York studio, the guest-filled "Dark Twisted Fantasy" was expensive to make.
Kanye West's fifth album, reportedly now titled Dark Twisted Fantasy is one of the most anticipated releases of 2010. The Def Jam Records release has featured extensive recording sessions in a Hawaii mansion as well as Jimi Hendrix' Electric Lady Studios in Lower Manhattan. Still recordin has reported that they've learned that the release's expenses exceed three million dollars.
With invited guests to the work ranging between Rick Ross, Nicki Minaj, Jay-Z

Kuipanga Top 30 kunahitaji utulivu

Jamani nahitaji ushirikiano wenu Juu ya Kuipanga Top 30.., so endelea kunitumia mapendekezo yako kwa njia yoyote uiwezayo ikiwemo kupitia 0757762963

Japo Kiduchu

Haya ndio Mmbo ya Dunia na Mimi ninaita Stansy Facts ambazo utakua unazipata hapahapa

JAMANI NIPO KWENYE MSETO THEN MAMBO MENGI BUT SOON I'LL BE AROUND

Jamani siasa na Mambo ya Jamii yana niweka tight kiaina lakini soon Mtapata Mambo poa tokea hapa coz Mipango ipo Mingi Lakini tunaweza endelea chat kwenye Facebook kwa kupitia Stanslaus Lambat.., na Mipango ya Top 30 ya Mbeya FM inaendelea kama kawa kila Jumapili saa tisa kamili Alasiri mpaka kumi na Mbili jioni.!!! Kip on listening

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!