I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY

February 04, 2011

Amini usiamini Dr.dre na Emeniem wachaguliwa kuperform ndani ya tuzo ya grammy 2011



Inavyelekea kama Tuzo za Grammy mwaka huu zitakua ni funika bovu kwa list ya wasanii na watangazaji waliotupiwa pale kati….wasanii watakao perform ni kama Dre,Emeniem,Justin Beiber,Lady gaga na wengine kibaoooo….na kwenye watangazaji ametupiwa LL Cool J, Selena Gomez na mwanadada Nicky Minaj sasa pata picha Show itavyokua…..Wakailinext itaendelea kukupa List ya wasanii ambao wataongezwa kwenye Perfomance za Tuzo za Grammy 2011 ambazo zitafanyika mwezi huu tarehe 13……. so stay visit here

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni yako hapa chini

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!