I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY

April 06, 2011

Colonel azungumzia tofauti zake na Marya....,


Colonel Mustapha amefunguka kusema kuwa alishtukia kuhusu ukaribu wa Marya na Shaffie,tangu November mwaka jana kwenye live concert pande za KICC,na kusema kuwa inauma sana kuona watu uliyowaamini sana then wanakusaliti,tena shaffie alikua kama kaka yake ambapo alikua akipata tatizo anamuomba ushauri


Naye Marya amefunguka kuwa,hapaswi kulaumiwa coz alitemana na Colonel Mustafa na alikua huru na alihitaji mtu wa kumfariji na shaffie alikua kwa ajili yake na alikiri kuwa walikua na mahusiano ya muda mrefu ila wameshindwa kuficha hisia zao za mapenzi na wadau wanasema ni bora wafaute nyayo za Nameless na Wahu,naye Colonel Mustapha alitoa kali kudai kuwa hajutii kutokua na Marya tena,na hata kama akialikwa kwenye harusi atahudhuria kama kawa

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni yako hapa chini

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!