I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY

April 05, 2011

Wazeee Wa Kazi Kazini


Mkaguzi msaidizi wa Polisi ambaye ni mkufunzi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi, akipita bila viatu kwenye moto,kama ishara ya kuonyesha kuwa kila kitu kinawezekana, wakati wa kufunga mafunzo ya siku mbili yaliyotolewa na taasisi ya (Peak Perfomance) kwa wakufunzi wa chuo hicho katika kuwajengea uwezo wa kiimani, kisaikolojia na kujitambua kwanini wanaishi ili kuwasaidia kujiamini katika utendaji wa shughuli zao za kila siku

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni yako hapa chini

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!