Farid Kubanda a.k.a Braza Fid juzi katimba akitokea Marekani alikokua amepelekwa na ofisi za Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kwa ajili ya Kozi ya International Leadership Programms, kama ye mwenyewe alivyowahi kusema kabla hajaondoka kuelekea pande hizo, kuhusu mambo aliyojifunza huko amabapo amesema kuwa amepata nafasi ya Kutembelea miji tofauti ya U.S.A na kujifunza elimu ya Sanaa, Filamu na mambo mengine kibao, ambapo pia ametunukiwa Cheti baada ya Kufanya vizuri katika kozi hiyo.
Fid amesema anasema kuwa yuko katika mipango ya Kuandaa Kongamano/Workshop kwa ajili ya Wasanii wa Muziki, Mashairi, ngonjera, yaani sanaa aina zote kwa ajili ya Afrika mashariki, na kusisitiza kuwa anafanya vyote hivyo kutoakana na mapenzi yake kwa muziki wa Hip Hop.
Fid amesema Work shop/Kongamanohilo bado Tarehe ya kufanyika Haijawa Confirmed, ila Litaandaliwa kwa ushirikiano na ubalozi Marekani.
Fid amesema anasema kuwa yuko katika mipango ya Kuandaa Kongamano/Workshop kwa ajili ya Wasanii wa Muziki, Mashairi, ngonjera, yaani sanaa aina zote kwa ajili ya Afrika mashariki, na kusisitiza kuwa anafanya vyote hivyo kutoakana na mapenzi yake kwa muziki wa Hip Hop.
Fid amesema Work shop/Kongamano
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini