Inakuaje Jamaa.!??
poa poa man
yeah.!!! upo kimya sana Man. , wats poppin.?
najipanga tu man
au xio dats gud.!! vipi kuna ngoma unaiandaa au.!!???
ya
dats gud.!! wana hawajasikia ukibang kwa radio yao kitambo so ngoma inaitwaje.!?
jina bado
Oukay.., inagongwa kwa nani dzain.!?
marco chali
safiiii..., ivi hujawahi kutamani kutengeneza ngoma kaliii na Godzila ivi.???
itafanyika usihofu
dats gud.!! nwayz unasemaje if tukipublish hayatuliyochat kwenye blog ya www.wakalinext.blogspot.com ili wadau wasome nini unafanya ryt this tym around.!!??
mzuka braaaaaaaa holla
Okuay nini cha mwisho brah unataka kufunguka.!??
i lov ma fanz braaaaa
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini