Rapper toka Kenya Stella Mwangi aka STL anatarajiwa kurudi Kenya alikoandaliwa sherehe kwa ajili ya kumpongeza kwa mafanikio aliyoyapata kwa kufukia nusu fainali ya Eurovision Song Contest 2011,akiiwakilisha nchi ya Norway
Sherehe hiyo inatarajiwa kufanyika pande za Michael Joseph Centre,jijini Nairobi na bendi ya Altimate ikishirikiana na ubalozi wa Norway na kampuni moja ya simu nchini Kenya wameandaa bata hilo kwa STL
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini