Ingawa kuna Uvumi wa chinichini kuwa industry ya Muziki huko Uganda inaonesha kuwa Doro,huku artist wa Uganda wanafanya kila waliwezalo kufanya waonekane na mvuto na kwa sasa Bobi Wine yuko Dubai aki-shoot videos zake mpya...
Bobi alionekana beach akiendelea na mishemishe za videos na kupata nafasi ya kukutana na waganda waishio Dubai na pia kupata totos kwa ajili ya videos zake pia
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini