Kuna habari toka Nairobi kuwa Artist wakali toka Marekani,Usher Raymond na Keri Hilson watadondoka jijini Nairobi kupiga concert baadaye mwezi August 2011
KERI HILSON
Inasemekana kuwa Usher Raymond na Keri Hilson,wamethibitisha kuwa watakuja nchini Kenya ku-perform kwenye official launch ya ujio mpya wa bia ya Tusker
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini