Artist toka Uganda,Jose Chameleone,Jackie Chandiru na AK 47 wanatarajiwa kuiwakilisha nchi ya Uganda nchini Eritrea kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya uhuru wa Eritrea,iliyopewa jina la 20th Independence Anniversary Musical Extravaganza....
Sherehe hizo zinatarajiwa kufanyika Jumamosi ya tarehe 14 May 2011 mpaka 24th May 2011,mbali na artist hao toka Uganda pia kuna group ambalo ni washindi wa tuzo za Planet,Africa Umoja toka Afrika Kusini,Fulani toka Ujerumani,Ahmed Al Reyah toka Sudan na artist wengine!
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini