Pamoja na uvumi kuwa msanii D'banj aka Koko Master na Nollywood actress Genevieve Nnaji toka Nigeria kuwa wamepigana chini,inadaiwa kuwa kwa sasa wako kwenye maadalizi ya mwisho ya kufunga ndoa aka ku-fall in love
D'Banj na Genevieve walikua pamoja jijini London kwenye birthday ya Genevieve alipotimiza miaka 32 na inadaiwa kuwa watu wao wa karibu wanafunguka kuwa huenda wakatangaza ndoa hivi karibuni kuliko ilivyotarajiwa na huenda ikawa mwezi August 2011
Inasemekana kama D'Banj na Genevieve watafunga ndoa,basi watakua Africa’s entertainment super couple na kufuata nyayo za Beyonce na Jay-Z,Will Smith na Jada na wengine kibao
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini