BabaMzazi wa dogo aliyefunika na kusifiwa na Jack Shan kwenye Muv ya KARATE KID, Jaden Smith na Willow Smith,Willard Christopher Smith Jr. aka Will Smith kwa sasa yuko kwenye mishemishe zake za kutengeneza movie yake mpya ya Men in Black III na inasemekana kuwa ali-park trailer lenye mazagazaga yake lenye thamani ya dola milioni 2 pande za Manhattan,likiwa samba na trailer lenye urefu wa 55 futi analotumia kama gym!
Trailer hilo linaitwa The Heat,ambalo ni kubwa zaidi ya vyumba 2,maliwato kwenye apartment za New York,huku likiwa lina bar,movie room kikiwa na screen ya inch 100,marumaru,ofisi ya wasaidizi wake na master bedroom..
tHEN kUMBUKA j
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini