Artist toka Kenya Stella Mwangi aka STL aliyeko Norway kikazi zaidi,ametolewa kwenye hatua ya nusu fainali ya shindano la Eurovision 2010/2011 song contest
Pamoja na kutolewa lakini,STL lakini track yake ya Haba Haba imepata umaarufu zaidi mbali na wimbo huo kukubalika Norway,Ulaya na Afrika Mashariki nzima pia waliohudhuriwa walivutiwa sana na wimbo huo mpaka kufikia kuimba pamoja na ye kitu ambacho STL amefunguka kuwa kimemuonesha upepo ya kukubalika
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini