Moses Radio na Weasel TV,Ijumaa ya tarehe 13 May 2011 wamezindua album yao mpya iitwayo Talk and Talk pande za Hotel Africana jijini Kampala-Uganda
Album ya Talk and Talk ina hits kali kama Talk and Talk,Lwaki Tokula,Am so high,Taxi Money,Bwondekawo na Football,Na kwenye album launch hiyo Uganda’s best performers wamepata shavu la kuwasindikiza Goodlyf kuanzia Sizzaman,Juliana Kanyomozi,Bobi Wine,Iryn Namubiru,Navio, Keko,GNL Zamba na kundi zima la Goodlyfe Crew....
Showz nyingine za album launch zitafanyika tarehe 14 na 15 May pande za Satellite Beach Mukono na KK beach Ggaba
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini