Manchester United imetwaa ubingwa wa Barclays Premier League 2010/2011,kwa kutoka draw 1-1na Blackburn Rovers kwenye Uwanja wa Ewood Park na kutangazwa kuwa bingwa mpya na kuweka historia ya kuchukua kombe hilo kwa mara ya 19 huku Liverpool wakichukua mara 18 tu...!
Manchester United chini ya Sir Alex Ferguson imecheza mechi 17 za Premier League 2010/2011,na imeshinda 16 mpaka sasa na kutoka draw mechi 1 na wamefungwa magoli 10.…na hawajafungwa goli kwenye dakika 45 za kwanza
Pia tangu ligi hiyo imeanza August 2010,Man Utd ilikua haijafungwa mpaka mwezi February 2011 na Wolves 2-1,na baadaye Chelsea 2-1,Liverpool 3-1 na Arsenal 1-0....Lakini haijafungwa homeground,Old Trafford
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini