MZEE ERNEST PAULO WAYA ASEMA SERIKALI IACHE TABIA YA KUWAONA WAMAANA WAKATI WA SIKU YA MASHUJAA IWAJALI MUDA WOTE
Mzee Ernest Waya akiweka upinde na mshale kuwakumbuka wenzake aliokuanao vitani enzi hizo |
Mzee Ernest Waya akitoa heshima mara baada ya kuweka upinde na mshale |
Toka kushoto ni Mkuu wa Mkoa Mbeya John Mwakipesile wapili ni Mstahiki meya wajiji la Mbeya Mh Atanas Kapunga watatu Mzee Ernest Waya wanne ni mwakilishi wa machifu wa Mbeya |
Shughuli imekwisha Mzee Waya huyoo ndiyo wamekwisha msahau hawana mpangonae tena |
Hapa anaelekea ofisi ya mkuu wa Mkoa Mbeya apate msaada wa usafiri kumrudisha kwake Mbalizi |
JAMANI TUWAJALI WAZEE WETU |
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni yako hapa chini