I made this widget at MyFlashFetish.com.

code-matuwille

MPENZI MSIKILIZAJI WA MBEYA FM, PENDEKEZA WIMBO UNAOONA UNAFAA KUINGIA KWENYE TOP 30, KABLA YA JUMAPILI AU TUMA MAONI YAKO KUPITIA 0757762963

2011

WAJANJA WA TOWN

WASIKILIZE WAJANJA WA TOWN KUPITIA 89.5 MBEYA FM....PRESENTER-VICE PRESIDENT NA SMART BOY
Showing posts with label Stanslaus Lambat. Show all posts
Showing posts with label Stanslaus Lambat. Show all posts

September 14, 2011

PIRIKA PIRIKA ZA MBEYA

Ajali ya Ndege Ndogo ikitoka Mbeya kuelekea Mradi wa Kapunga 

                                      Nyomi ya Watu eneo la Kilimo Uyole wakishuhudia Ndege hiyo                                                     

                                         Kaimu Kamanda Polisi Mkoa wa Mbeya akizungumza na Wanahabari                                           
                                           Kitu kikiwa Chini ya Ardhi(Kiwanja kisicho Rasmi)

                                                       Wanahabari Kazini

                                      Askari wa Usalama wakihakikisha Hali inaenda sawa


                                           Muonekano wa Ndege kwa Mbele huku Kioo kikiwa kimevunjika


                     Rubani wa Ndege  hiyo akitoa Maelezo kwa Mbeya FM na www.wakalinext.blogspot.com

                                         Hon;Stanslaus Lambat eneo la Tukio..,



                                      Wanambeya wakiwa wanafuatilia Tukio zima



ENEO LA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

Askari wa Jiji la Mbeya wakitoa Plate Numbers kwenye Magari yanayoegeshwasehemu zisizoruhusiwa
 
                                       Hapa Jamaa alikuwa ananizuia Eti mpaka niwaombe Ruhusa ya kupiga Picha
                                           Haya nimepata Ruhusa.., Mgambo Kazini
 Ukiitazama Vizuri picha hii utaona kibao chenye Alama inayoashiria Hairuhusiwi kuegesha Gari eneo hili

NB; Haki zote zimehifadhiwa;Habari hii mara utakapo ichukua hakikisha Unaonesha Mtandao huu uliochukua www.wakalinext.blogspot.com

June 04, 2011

There is more Vitamin C in Strawberries per volume than oranges has




Strawberries are even higher in vitamin C than oranges, with eight medium strawberries containing 160 percent of your recommended daily value (60 mg)! A medium orange contains 74 milligrams of Vitamin C, while eight average-sized strawberries provide about 96 mg. Another added benefit is that strawberries are also low in calories - just 50 per eight-strawberry serving.

May 30, 2011

There is two stone lions in front of the New York Public Library and There Names is Patience and Fortitude.


This past Monday, May 23, was actually the lions’ 100th birthdays! The New York Public Library officially opened just over 100 years ago, complete with the two iconic lion statues. The pair didn’t receive their names until the 1930s. Mayor Fiorello LaGuardia named them after the two virtues needed to survive the Great Depression, and the names stuck ever since. Patience and Fortitude are now the Library’s mascots; they’ve been trademarked and serve as the Library’s logo. They were originally carved out of marble for $5,000 and have survived exposure to the elements in New York until 2004, when they were finally cleaned and restored. That's 93 years without taking a bath!

May 28, 2011

MBEYA FM RADIO ONCE AGAIIIN.., CALL IT AMPLIFIED MBEYA FM 89.5.!!!!!!

Youh baada ya Marekebisho ya Muda Kidogo yaliyofanya kusimama kwa Matangazo ya Redio Mbeya, sasa Inarudi tena rasmi so cha kufanya kwa sasa ukiwa Mbeya tune 89.5 Mhz upate burudani ya kufa mtu kupitia Redio Yako MBEYA FM ambayo Sisi wakalinext tunaibatiza jina la MBEYA FM AMPLIFIED.., kwa sasa Burudani ya kufa Mtu itachukua nafasi kwa Watangazaji kuendelea kujipanga zaidi......

         Hebu Enjoy nayo basi.!!!

April 06, 2011

Bonge, Bonge,Bonge la Beef Uganda kwa sasa Linaendelea

Kuna beef jingine nchini Uganda kati ya Okori Moses aka Coco Finger na Fire Base boss,Bobi Wine.inasemekana kuwa Bobi Wine alikua anataka Coco Finger ku-perform kwenye sikukuu za Pasaka pande za One Love Beach iliyopo Busabala
Bobi Wine alitaka kumlipa Coco Finger Shs million 4 za Uganda ili asi-perform sehemu nyingine,na siku hiyo hiyo hasimu wa Bobi Wine,Gagamel Crew Boss,Bebe Cool atapiga show akiwa na Chaka Demus & Pliers pande za Kiwatule Recreation Centre
Bebe Cool




So Bobi Wine hataki Coco Finger apige show kwa Bebe na Coco mwenyewe huenda akakataa Shs milioni 4 toka kwa Bobi coz anataka apige showz zote mbili ili ajiongezee kipato ,coz Coco Finger hana beef na Bobi Wine,ila yuko karibu sana na Bebe Cool na hivi karibuni Bebe Cool alitangaza hadharani kuwa Coco Finger amempiku Bobi Wine na kuchukua nafasi ya 3 ya wanamuziki nyota wa Uganda....alidai kuwa yeye Bebe Cool ni number one,Dr Jose Chameleone ni namba 2 na kwa sasa Coco Finger ni namba 3 kitu ambacho kimemchefua Bobi Wine!
                                                                                                
                                                                                                                                

November 05, 2010

YAFUATATYO NDIO MATOKEO YALIYOMPA UBUNGE SUGU KWA JIMBO LA MBEYA MJINI


Jina la Mgombea            Chama       Idadi ya kura

Joseph Mbilinyi             CHADEMA    49084

Benson Mpesya             CCM               25878

Prince Mwaihojo           CUF                 671

Tokolosi Alimu              DP                   154

Twalondaga Aggabo      CCCR-Mageuzi  272

Emmy Mwakisole      UPDP                    162



Idadi ya waliopiga kura ni 77662 huku waliojiandikisha ni 177468 na Idadi ya kura zilizokataliwa ni 1441 na Exceptional Voters ni

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963

TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU.., WASILIANA NASI 0757762963
Matangazo hayo pia yatarushwa moja kwa Moja Kupitia 89.5 MBEYA FM Radio.!!