Mpango mzima ulifanyika pande za Mbalizi katika viwanja vya Ifisi Conference Centre (ICC)
Michezo ya kila aina ilikuwepo
Nilipendezewa na hii kitu, ama kweli ilikuwa ni Family Day
Mwasamweneeee., ha ha ha haa.!! No comment hapa
Mazoezi muhimu, so yalichukua nafasi yake pia.!!!
Mzigo wa vinywaji wa kutosha uliwekwa humu dzain., watu mpaka waliacha
Dj Andrew kushoto na Dj Mwasemwee kulia
Mbio za Magunia kwa watoto n wakubwa zilihusika
Sikumbuki vizuri hawa jamaa walikuwa wanadiscuss nini,
Kuvutana kwa Kamba sasa.., hii nayo ni kwa watoto na wakubwa kwa jinsia zote
Mbona kulalaaa.!???
Jamaa alitisha kinoma, cheki kogo zake za Uvutaji kamba, ha ha ha Lager bana kumbe sum tymz inaleta ujasiri Eeeh.!!??
Kimbiza kuku Meen
Kiukweli Kuku huyu alisumbua kinoma noma, cheki picha hizo
Ni tym ya sarakasi
Bonge la sound kutoka TBL., Big up guys.!
Anakula Kuku huku kashika....................
Ah.!! Mindu akiwa na moja ya Familia yake., but sikupata jina la huyu Mtoto mara moja though ni copy poa ya jamaa
Gentlemenz
KIDUKUUUUUUUUUU
Mmh.!! Kaka upo serious
Dogooo.., ulinivutia sana though sikupata jina lako mara moja
Habari za Saizi.!??
Nyama chomaz, kazi ni kwako iwe Mbuzi au Ng'ombe
Kikosi Kazi cha TBL
Mkuu
Flowers.!!
Mwasamwene na Dkt. Stanslaus Lambat
Mwasamwene na Freiz.,
Kila aliyefika alitakiwa Safari Njema, though post hii imechelewa kutokana na Matatizo yaliyo nje ya uwezo hivyo tunaomba Radhi kwa Usumbufu uliyojitokeza.!! Ila Habari njema ni kwamba
http://www.wakalinext.blogspot.com/ inarudi kwa kasi sasa waweza wasiliana nasi kupitia 0757 762 963